Mnyama yuko tayari kuiangamiza Al Merrikh

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Mar 2021
Mnyama yuko tayari kuiangamiza Al Merrikh

Mabingwa wa nchi Simba kesho Jumanne watakuwa na jukumu la kuiwakilisha nchi katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Merrikh ya Sudan

Huu ni mchezo ambao Simba inahitaji alama zote tatu ili kuwa katika nafasi nzuri ya kutinga robo fainali

Mchezo huo ambao kwa mara ya kwanza hapa Tanzania utachezwa pasipo kuhudhuriwa na mashabiki, Simba imejiandaa na vita hiyo ya kimya kimya kummaliza Mwarabu pale kwa Mkapa

Al Merrikh walitua nchini tangu juzi, tayari kwa mchezo huo ambao pia utaamua hatma yao katika michuano ya ligi ya mabingwa msimu huu

Jana Kocha Didier Gomes alikamilisha maandalizi ya mwisho uwanja wa Mo Simba Arena wachezaji leo wakitarajiwa kutumia uwanja wa Mkapa baada ya mazoezi ya Al Merrikh

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
53m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’