Meddie Kagere 'Bull Striker' na John Bocco, wameendelea kuongoza orodha ya vinara wa mabao msimu huu wakiwa wameweka kambani mabao tisa kila mmoja
Prince Dube wa Azam Fc amefunga mabao nane wakati Iddi Selamani (Azam Fc), Meshack Abraham (Gwambina), Fully Maganga (Ruvu Shooting) na Adam Adam wakiwa wamefunga mabao saba
Hii hapa orodha ya vinara wa mabao mpaka sasa;




ADVERTISE HERE