Maandalizi dhidi ya Mbao FC yanaendelea

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Feb 2018
Maandalizi dhidi ya Mbao FC yanaendelea
Kikosi cha Simba kinaendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 19 dhidi ya Mbao FC.

Leo Simba imeendelea na mazoezi kwenye viwanja vya Boko jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo huo utakaopigwa Jumatatu, February 26.



Kocha Mkuu wa Simba Pierre Lechantre akiwa sambamba na wasaidizi wake wamesimamia mazoezi hayo yanayohusisha wachezaji wote wa kikosi cha kwanza wasio majeruhi.

Baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Mwadui FC kwenye mchezo uliopita, Simba inahitaji kuibuka na ushindi dhidi ya Mbao FC ili kuendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Vodacom kwa tofauti ya alama nyingi.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’