Aliyekuwa nahodha wa Simba Queens Mwanahamisi Omary 'Gaucho' ameondoka nchini kuelekea Morocco kujiunga na Chabab Atlas Women Fc inayoshiriki ligi kuu ya Wanawake nchini humo
Mwanahamisi amefungua njia kwa wachezaji wa kike kutoka Tanzania kwenda kusakata kabumbu nje ya nchi
Kila la kheri na mafanikio mema huko Morocco
ADVERTISE HERE