Kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Merrikh, uongozi wa klabu ya Simba leo utakuwa na Mkutano na Wanahabari
Mkutano huo utafanyika Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam kuanzia saa sita kamili mchana
Simba na El Merrikh zitachuana Jumanne, March 16 katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
ADVERTISE HERE