Tarehe kama ya leo alizaliwa mlinzi wa kati Ibrahim Ame, beki kisiki wa klabu ya Simba
Mmoja wa walinzi chipukizi ndani ya kikosi cha Simba akiendelea kujifunza kutoka kwa wakongwe Paschal Wawa, Joash Onyango na Erasto Nyoni
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake
Happ Birthday Ame..!
ADVERTISE HERE