Simba kuanza na KMC ligi ya vijana

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Mar 2021
Simba kuanza na KMC ligi ya vijana

Mikiki mikiki ya ligi kuu ya vijana umri chini ya miaka 20 (U-20) inaanza leo ambapo vijana wa mabingwa wa nchi hii Simba wataanza kampeni yao kwa kuikabili KMC

Aidha mechi hiyo ambayo itakuwa mbashara ndani ya Azam TV, itapigwa kuanzia saa moja usiku ikitanguliwa na michezo miwili, Ruvu Shooting dhidi ya Azam Fc (saa nane) na Namungo Fc dhidi ya Yanga (saa 10)

Lengo la Simba msimu huu ni kushinda mataji yote ya ligi kuanzia timu ya Wanaume, Wanawake na hili la vijana

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’