Baada ya mchezo dhidi ya Tanzania Prisons hapo jana, leo kikosi cha Simba kimerejea mazoezini ambapo wamecheza mchezo wa kirafiki na timu ya Dar City FC
Ni sehemu ya programu ya kocha ya mazoezi ili kuwapa nafasi ya kucheza wachezaji ambao hawakucheza mchezo wa jana na waliocheza wakitokea nje.
Katika mchezo huo Simba imeibuka na ushindi wa bao 1-0, bao likifungwa na nahodha John Bocco



ADVERTISE HERE