Hakuna kukata tamaa mpaka mwisho

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Mar 2021
Hakuna kukata tamaa mpaka mwisho

Luis Miquissone amedhihirisha umuhimu wake kwenye kikosi cha Simba msimu huu akifunga mabao yenye thamani kubwa

Jana katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons alifunga bao lililoihakikishia Simba alama moja muhimu dakika za lala salama

Alifunga bao la aina hiyo katika mchezo dhidi ya Azam Fc ambao ulimalizika kwa matokeo ya sare ya mabao 2-2

Ni huyuhuyu Miquissone aliwalaza na viatu Al Ahly kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa, ushindi ambao uliifanya Simba ilitikise bara la Afrika

Al Ahly ndio mabingwa watetezi wa michuano ya ligi ya mabingwa na hawakuwa wamepoteza mchezo wowote barani Afrika wakiwa chini ya kocha Pitso Mosimane

Thamani ya Miquissone imepanda mara dufu, anafunga, anatoa pasi za mabao na wakati mwingine ameshiriki katika ulinzi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’