Machampioni wa Taifa hili, Simba majira ya saa moja usiku watakuwa pale uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu
Hii ni mechi ya duru ya pili Simba ikiwa na kumbukumbu ya kupoteza kwa bao 1-0 katika mchezo wa duru ya kwanza
Kocha Didier Gomes ameanza na silaha zake kamili kuhakikisha alama zote tatu zinapatikana
Hii ni mechi ya kisasi...!

ADVERTISE HERE