Mabingwa dimbani dhidi ya Tanzania Prisons

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Mar 2021
Mabingwa dimbani dhidi ya Tanzania Prisons

Mikiki mikiki ya ligi kuu ya Vodacom inaendelea leo ambapo mabingwa watetezi Simba watashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikaribisha Tanzania Prisons 

Baada ya kuiwakilisha nchi vyema kwenye michuano ya ligi ya mabingwa, Simba itaendelea na kampeni ya kutetea ubingwa wake wa ligi kuu kwa msimu wa nne mfululizo

Wanashuka kuikabili Tanzania Prisons, ambayo Mnyama ana kumbukumbu katika mchezo wa duru la kwanza, alipoteza kwa kufungwa bao 1-0 kule Sumbawanga

Hivyo huu ni mchezo wa kisasi kwa Simba, hakuna matokeo mengine zaidi ya ushindi kwa Simba

Baada ya mzoezi ya jana jioni, kocha mkuu wa Simba Didier Gomes alisema kuwa vijana wake wako tayari na wana matumaini makubwa ya kufanya vizuri leo

Winga Bernard Morrison ni miongoni mwa wachezaji walioshiriki mazoezi ya jana na bila shaka Gomes leo atampa nafasi katika kikosi chake

Mchezo utapigwa kuanzia saa moja usiku

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
13h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
16h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’