Mabingwa wa nchi Simba jioni ya leo wamekamilisha maandalizi yao kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons
Mchezo huo utapigwa kesho Jumatano katika uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa moja jioni

ADVERTISE HERE