Viingilio mchezo dhidi ya Tanzania Prisons

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Mar 2021
Viingilio mchezo dhidi ya Tanzania Prisons

Kesho Jumatano mabingwa wa nchi Simba wanaendelea na kampeni ya kutetea ubingwa wao kwa msimu wa nne wakatapo wakaribisha Wajelajela Tanzania Prisons katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Mchezo huo ambao utaanza saa moja usiku, utakuwa wa kisasi kwa Simba, hawa Tanzania Prisons walipata ushindi katika mchezo wa kwanza uliopigwa Sumbawanga

Simba imeweka hadharani viingilio vya mchezo huo ambapo VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- wakati Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

Tiketi zinapatikana Fusion Wear (Posta Mpya) na Makao Makuu Msimbazi jijini Dar es salaam

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’