Keshokutwa Jumatano mabingwa wa nchi Simba watashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
Wenyewe Wanamsimbazi wanasema malipo ni hapa hapa duniani, siku ya Jumatano itakuwa zamu yao kulia
"Malipo ni hapa hapa duniani na zamu yetu kulipa kwa Tanzania Prisons imewadia"
"Wao walituweka Magereza na sisi tutawala wasiwepo kabisa! Jumatano Machi 10, 2021 kuanzia saa 1:00 usiku kwenye uwanja wa Mkapa tutakuwa na shughuli yetu. Huu ni muda wa kumaliza kazi"
ADVERTISE HERE