Al Merrikh matatani, Simba kupewa alama tatu?

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Mar 2021
Al Merrikh matatani, Simba kupewa alama tatu?

Klabu ya Simba Sc huenda ikapata alama tatu za mezani mara baada ya El Merreikh kuwajumuisha wachezaji watatu katika mchezo uliopita wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika ambao walifungiwa miezi 6 na shirikisho la soka la Sudan (SFA) kutokana na kusaini mkataba na timu mbili tofauti (El Hilal na El Merreikh)

Wachezaji hao ni Mohamed AlRashed Mahamoud, Ramadan Agab pamoja na Baljit Khamis Mohamed

Mpaka sasa Simba Sc tayari wamepata taarifa hiyo yenye vithibitisho ambavyo kwa mujibu wa kanuni ya saba ya CAF endapo shirikisho hilo litajiridhisha ni wazi Al Merrikh wanaweza kupokwa alama zote za mechi ambazo wachezaji hao wametumika na hata kuondoshwa katika michuano hiyo

Kama CAF watachukua hatua ya kuwaondosha mashindanoni, maana yake ni kuwa mechi zote walizocheza zitafutwa

Hapo Simba itanufaika zaidi kwani wao watapoteza alama moja tu wakati AS Vita na Al Ahly zitapoteza alama tatu kwa kila timu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’