Msafara wa kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania, Simba uliondoka Sudan usiku wa kuamkia leo ambapo wamewasili nchini Ethiopia asubuhi hii tayari kuunganisha ndege ya kurejea Tanzania
Simba itaondoka Ethiopia majira ya saa nne na dakika 30 kurejea Tanzania




ADVERTISE HERE