Tuko tayari kuwakabili Al Merrikh - Barbara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Mar 2021
Tuko tayari kuwakabili Al Merrikh - Barbara

Mtendaji Mkuu wa Simba Barbara Gonzalez amesema kikosi kiko tayari kwa mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Merrikh ambao utapigwa kuanzia saa tisa Alasiri (Tanzania saa kumi)

Akizungumza chache kuelekea mchezo huo, Barbara amesema hakuna changamoto yoyote waliyokutana nayo nchini Sudan huku akibainisha kuwa wachezaji wote wamepimwa na hakuna aliyekutwa na maambukizi ya virusi vya corona

"Kila kitu kinaenda sawa tangu tumefika hapa Sudan, hatujapata changamoto yoyote wachezaji wamechukuliwa vipimo vya COVID 19 na jambo la kushukuru wote wako sawa na mipango yote iko sawa. Benchi la ufundi linafanya majukumu yake na morali ya wachezaji ipo juu," amesema Barbara

Barbara ndiye kiongozi wa msafara wa klabu ya Simba huko Sudan ukiwa ni mchezo wa pili ugenini hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa

Aliiongoza Simba kule DR Congo na mabingwa hao wa nchi kuondoka na ushindi wa kihistoria wa bao 1-0 dhidi ya AS Vita

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
29m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’