Simba Queens yarejea kileleni kibabe

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Mar 2021
Simba Queens yarejea kileleni kibabe

Mabingwa watetezi ligi kuu ya Wanawake Simba Queens leo wamedhihirisha ubabe wao dhidi ya watani zao Yanga Princess wakipata ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Uhuru

Ni matokeo yaliyoirejesha Simba Queens kileleni mwa msimamo wa ligi wakifikisha alama 39, alama moja mbele ya wapinzani wao Yanga Princess wenye alama 38

Mabao ya Simba Queens yalifungwa na Mwanahamisi 'Gaucho', Oprah Clement na Nasri Joel

Kocha Mkuu wa Simba Queens Mussa Hassan Mgosi amewaomba radhi mashabiki baada ya ushindi huo mwembamba

"Mechi ya kwanza walipopata sare walizungumza sana lakini hawakufahamu tuliwaachia. Leo tumewafunga mabao machache, tulipaswa kuwafunga tisa au kumi hivyo nawaomba wadhi mashabiki kwa ushindi huu mwembamba," alisema Mgosi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’