Mazoezi ya kwanza Sudan

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Mar 2021
Mazoezi ya kwanza Sudan

Baada ya kuwasili nchini Sudan Alfajiri ya leo, jioni kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kilipata nafasi ya kufanya mazoezi ya kwanza nchini Sudan kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya El Merrikh utakaopigwa Jumamosi ndani ya jiji la Khartoum

Afisa Habari wa Simba Haji Manara amesema wachezaji wote wako imara kwa asilimia 100% kuelekea mchezo huo muhimu kwa Simba inayowania tiketi ya kutinga robo fainali ya michuano hiyo mapema

Mazoezi hayo pia yalihudhuriwa na viongozi waandamizi wa Simba wakiongozwa na Mtendaji Mkuu Barbara Gonzalez

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’