Kuna nini huko kwa jirani?

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Mar 2021
Kuna nini huko kwa jirani?

Wamepigwa bwana...! zile tambo za 'unbeaten' zimefika kikomo leo mbele ya watoto wa Tanga, Coastal Union walioichapa Yanga mabao 2-1 huko Mkwakwani

Haya ni matokeo ya mazuri sana kwa mabingwa wa nchi Simba, kwani wanachopaswa kufanya ni kushinda mechi zao zote za viporo ili kukaa pale kileleni kwa tofauti ya alama tano

Taratibuuu, maji na mafuta yameanza kujitenga..! Tuwaambie mashabiki wa 'uto' waanze kutushangilia sasa ili mwakani tuwabebe Kimataifa. Bila ya hivyo, wasubiri ruti za 'Kimbinyiko' tena

Hongera Coastal Union kwa ushindi muhimu kwao, ni ushindi uliotuliza nchi wakati bingwa wa nchi mwenyewe akisubiriwa kufanya yake kule Sudan siku ya Jumamosi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
43m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’