Watanzania waishio Sudan waipa sapoti Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Mar 2021
Watanzania waishio Sudan waipa sapoti Simba

Ni jambo la Faraja na Heshima kuona Watanzania wanaoishi nchini Sudan walivyojitoa kuiunga mkono Simba kuelekea mchezo wao wa ligi ya mabingwa dhidi ya El Merrikh utakaopigwa keshokutwa Jumamosi

Pamoja na Simba kutua Sudan Alfajiri, Watanzania hao walijitokeza uwanja wa Ndege wa Khartoum kushiriki mapokezi ya Wawakilishi hao wa nchi huku wakiahidi kujitokeza kwa winga uwanjani siku ya Jumamosi

"Popote tuendapo tunapokelewa kama tupo nyumbani. Asanteni Watanzania wenzetu mliojitokeza Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Khartoum, Sudan kutupokea wawakilishi wa nchi kwenye #TOTALCAFCL," taarifa ya shukrani kutoka kwa klabu ya Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’