Mabingwa wa nchi Simba wamewasili salama jijini Khartoum huko Sudan kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Merrikh utakaopigwa keshokutwa Jumamosi
Simba ilitua Ethiopia usiku wa kuamkia leo na moja kwa moja kuunganisha na Ndege nyingine iliyowapeleka mpaka Sudan









ADVERTISE HERE