Tunakwenda Sudan kupambana - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
•
3 Mar 2021
Tunakwenda Sudan kupambana - Manara

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano klabu ya Simba, Haji Manara amesema kikosi kimeondoka nchini kuelekea Sudan wakiwa na matumaini  makubwa ya kufanya vizuri kwenye mchezo wa ligi ya Mabingwa dhidi ya Al Merrikh ambao utapigwa Jumamosi

Akizungumza muda mfupi kabla ya kuanza safari, Manara amesema wanatambua wanakwenda kukabiliana na timu ambayo inahitaji ushindi kwa gharama yoyote baada ya kupoteza michezo yao miwili ya kwanza

"Tunakwenda Sudan huku tukifahamu tunakabiliwa na mchezo mgumu dhidi ya Al Merrikh. Mabingwa hawa wa Sudan wamepoteza mechi zao mbili hivyo watakuwa na malengo ya kusaka ushindi. Hata hivyo sisi tuko imara, wachezaji wote wako kamili, hatuna majeruhi na tunakwenda kupambana"

"Tumejiwekea malengo makubwa ya kufanya vizuri katika michuano hii ya ligi ya mabingwa msimu huu, muhimu tunawaomba Watanzania na Wanasimba mnaobaki nyumbani mtuombee duwa ili tuweze kufanya vizuri," alisema Manara

Simba imeondoka nchini na kikosi cha wachezaji 25. Itasafiri mpaka Ethiopia ambako wataunganisha ndege kuelekea nchini Sudan

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE →
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE →
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE →
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE →
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE →
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE →
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE →
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE →