Kikosi cha Simba tayari kiko uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere saa kumi jioni wakitarajiwa kuondoka kwenda Sudan wanakokabiliwa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Merrikh
Simba inaondoka nchini ikiwa 'full' wakiwa na chakula maji na mahitaji mengine




Kila la kheri mabingwa wa nchi, Safari Njema
ADVERTISE HERE