Mwanadada Muigizaji maarufu nchini, Monalisa ametangazwa kuwa Msemaji wa Simba Queens, mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Wanawake 'Serengeti Lite'
Monalisa ametambulishwa mapema leo na Mlezi wa Simba Queens Fatema Dewji
"Tunaimani na Monalisa na atafanya kazi nzuri katika kueneza taarifa zote zinazohusiana na Simba Queens kwenye jamii yetu na tunaamini Kwa uzoefu wa atakwenda kuwa msemaji bora wa timu yetu na uzoefu wake aliokua nao katika jamii," alisema Fatema

ADVERTISE HERE