Mlinda lango namba moja wa Simba na timu ya Taifa, Aishi Manula ameingia kambini tayari kwa safari ya kuelekea Sudan kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Merrikh
Manula alipata majeraha juzi katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya JKT Tanzania, amepatiwa matibabu sahihi kwa wakati na sasa amerejea kuiwakilisha Simba katika michuano hiyo mikubwa

Kikosi cha Simba kitaondoka jioni ya leo kuelekea Sudan
ADVERTISE HERE