Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba kinaondoka jioni ya leo Jumatano kuelekea Sudan ambako wanakabiliwa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Merrikh ambao utapigwa Jumamosi, March 06
Msafara wa mabingwa hao wa nchi utajumuisha wachezaji 25
1.Aishi Manula
2.Beno Kakolanya
3.Ally Salim Juma
4.Shomari Kapombe
5.Joash Onyango
6.Pascal Wawa
7.Erasto Nyoni
8.Gadiel Michael
9.Mohamed Hussein
10.Jonas Mkude
11.Rally Bwalya
12.Mzamiru Yassin
13.Luis Miquissone
14.Hassan Dilunga
15.Ibrahim Ajib
16.Clatous Chama
17.Francis Kahata
18.Meddie Kagere
19.John Bocco
20.Miraji Athumani
21.Chris Mugalu
22.Peter Muduhwa
23. Tadeo Lwanga
24.Kennedy Juma
25. David Kameta

ADVERTISE HERE