Simba walivyopendezesha safari Kenya Airways

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Feb 2018
Simba walivyopendezesha safari Kenya Airways
Kikosi cha Simba wakati kinarejea kutoka Djibouti kilifanywa kama wafalme ndani ya ndege ya Kenya (KQ) kwa kipindi chote cha safari yao.

Baada ya wafanyakazi kujua msafara ule ni wa Simba, kila walipokuwa wakitoa matangazo yao ndani ya ndege walikuwa wakiwatangaza na Simba wakiwapongeza kwa ushindi na kuwatakia mafanikio mema katika mechi zijazo.

"Bila kusahau ndani ya ndege hii tupo na Wachezaji wa Simba wanaotoka Djibouti na wamefanya vizuri katika mechi yao huko, hivyo sisi wafanyakazi wa ndege hii tunawapongeza sana, tunataka waendelee kufanya vizuri zaidi na zaidi na kuwa wawakilishi wazuri Afrika,"
alitangaza mfanyakazi huyo akitumia Lugha ya Kiingereza na Kiswahili.

Simba imewasili usiku wa kuamkia jana Alhamisi kwa makundi wakitumia ndege ya KQ na. wataingia kambini leo hii Ijumaa.

Haji Manara
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Kikosi : Fountain Gate vs Simba, NBC PL, Oct 29
Kikosi : Fountain Gate vs Simba, NBC PL, Oct 29
2h ago
READ MORE β†’
Kamati ya uchaguzi Simba imesisitiza, mchakato unaendelea
Kamati ya uchaguzi Simba imesisitiza, mchakato unaendelea
2h ago
READ MORE β†’
Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba
Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
8h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
1d ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
1d ago
READ MORE β†’