Winga Luis Miquissone na beki kisiki Joash Onyango, wamejumuishwa kwenye kikosi cha wiki cha michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika
Miquissone alifunga bao pekee la ushindi katika mchezo dhidi ya Al Ahly wakati Onyango aliwatuliza washambuliaji wa Al Ahly wakashindwa kufurukuta katika mchezo huo

This is Simba brother...!
ADVERTISE HERE