Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa ufafanuzi kufuta upotoshaji unaenezwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mchezo wa kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) hatua ya 16 bora kati ya Simba dhidi ya Kagera Sugar
Taarifa iliyotolewa na TFF mapema leo, imefafanua kuwa ratiba hiyo ilipangwa baada ya kufanyika droo mwezi uliopita

ADVERTISE HERE