Michezo ya raundi ya tano ya michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) imekamilika leo, timu 16 zikifanikiwa kuvuka raundi inayofuata
Tayari droo ya 16 bora ilishapangwa ambao mabingwa watetezi Simba watakuwa nyumbani uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Kagera Sugar
Mechi za hatua ya 16 zitapigwa kati ya April 02/03 ambapo timu zitakazoshinda mechi hizo, zitatinga hatua ya robo fainali
ADVERTISE HERE