Ligi ya Mabingwa : Mamelodi washinda 5-1 kwa Mkapa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Feb 2021
Ligi ya Mabingwa : Mamelodi washinda 5-1 kwa Mkapa

Mabingwa wa Afrika Kusini Mamelodi Sundowns wametumia vyema uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya kuwalaza CR Belouizdad mabao 5-1

CR Belouizdad waliokuwa wenyeji wa mchezo huo, walizuia mashabiki kuingia wakihofia kuipa faida Mamelodi ambayo tayari ilikuwa imezungumza na viongozi wa Simba ili kuwashawishi mashabiki wakawaunge mkono

Sundowns wako kundi B sambamba na timu za CR Belouizdad, TP Mazembe na Al Hilal

Wanaongoza kundi hilo wakijikusanyia alama sita, ikiwa timu ya pili kushinda mechi zake mbili za mwanzo kama ilivyo kwa klabu ya Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
19h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
22h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’