Kituo kinachofuata ni JKT Tanzania

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Feb 2021
Kituo kinachofuata ni JKT Tanzania

Baada ya mapambano ya mechi za Kimataifa na FA, mabingwa wa nchi Simba wanarejea katika mbio za ligi kuu siku ya kesho Jumatatu ambapo watashuka kunako uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili JKT Tanzania

Mechi hii ni miongoni mwa mwechi tatu za viporo ambazo Simba wanahitaji kushinda ili kurejea kileleni katika nafasi ambao ni suala la muda tu wataimiliki

Kesho Simba inatarajiwa kushuka dimbani ikiwa na silaha zake zote kamili baada ya kocha Didier Gomes kuwapa mapumziko baadhi ya wachezaji katika mchezo wa kombe la FA dhidi ya African Lyon juzi

Simba iliondoka na ushindi wa mabao 3-0, Ibrahim Ajibu akiweka kambani mabao mawili na bao la tatu likifungwa na Perfect Chikwende

Baada ya mchezo huo, mabingwa wa nchi wanarejea tena katika majukumu ya Kimataifa wakitarajiwa kusafiri kuelekea nchini Sudan ambako wanakabiliwa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Merrikh March 05

Ni mchezo muhimu kwa Simba inayofukuzia nafasi ya kutinga robo fainali mapema, alama sita dhidi ya Al Merrikh zinaweza kufanikisha mpango huo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
13h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
16h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
22h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’