Lokosa atakiwa Norway

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Feb 2021
Lokosa atakiwa Norway

Klabu ya Stromsgodset inayoshiriki Ligi Kuu nchini Norway inamuwania mshambuliaji wa Simba, Mnigeria Lokosa Junior

Lokosa mwenye umri wa miaka 27, ana mkataba wa miezi sita na Simba, lakini klabu hiyo imeonyesha nia ya kununua kandarasi hiyo

Rekodi zinaonyesha kuwa Lokosa akiwa Kano Pillars ya kwao Nigeria ndani ya msimu wake wa kwanza tu, alicheza mechi 14 na kutupia nyavuni mabao matano hiyo ikiwa mwaka 2017

Msimu uliofuata, 2018 aliendelea kuuwasha moto na kufunga mabao 14 katika michezo 15

Bado hajapata nafasi ya kutosha ndani ya kikosi cha Simba kwa kuwa amesajiliwa kwa ajili ya michuano ya Ligi ya Mabingwa tu

Kocha Didier Gomes amesema nyota wapya waliotua dirisha dogo wataendelea kuingia taratibu katika kikosi chake

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’