Simba yatinga kibabe raundi ya 16 ASFC

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Feb 2021
Simba yatinga kibabe raundi ya 16 ASFC

Mabingwa wa nchi Simba wametinga raundi ya 16 ya michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya African Lyon katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Ulikuwa ni mchezo ambao ubora wa Simba ulidhihiri, wababe hao wa soka nchini wangeweza kuondoka na ushindi mnono zaidi kama washambuliaji wake wangekuwa makini

Ilikuwa siku nzuri kwa fundi wa mpira Ibrahim Ajibu aliyeweka kambani mabao mawili kwenye kipindi cha kwanza huku Perfect Chikwende akiongeza la tatu katika kipindi cha pili

Meddie Kagere 'MK14' haikuwa siku nzuri kwake akikosa nafasi kadhaa pamoja na mkwaju wa penati

Simba sasa itachuana na Kagera Sugar katika mchezo wa raundi ya 16 ambao utapigwa uwanja wa Benjamini Mkapa

 

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’