Saa moja usiku, leo Ijumaa mabingwa wa nchi Simba watashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili African Lyon ukiwa ni mchezo wa raundi ya nne ya michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)
Kocha Mkuu Didier Gomes amechagua kuanza na kikosi hiki;

ADVERTISE HERE