Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Kim Poulsen, ametangaza kikosi chake cha timu ya Taifa kuelekea maandalizi ya mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Kenya na michezo ya kusaka tiketi ya fainali za Afcon 2022 dhidi ya Guinea ya Ikweta na Libya
Nyota walioitwa;
MAKIPA :
1. Aishi Manula
2. Metacha Mnata
3. Juma Kaseja
MABEKI :
4. Shomari Kapombe
5. Hassan Kessy
6. Israh Mwenda
7. Erasto Nyoni
8. Bakari Nondo Mwamnyeto
9. Dickson Job
10. Kelvin Yondani
11.Β Carlos Protus
12. Kennedy Juma
13. Laurent Alfred
14. Mohamed Hussein Tshabalala
15. David Bryson
16. Nikcson Kibabage
17. Edward Charles Manyama
VIUNGO :
18. Simon Msuva
19. Hassan Dilunga
20. Ayoub Lyanga
21. Novatuc Dismac
22. Mzamiru Yassin
23. Jonas Mkude
24. Said Ndemla
25. Fei Toto
26. Himid Mao
27. Ally Msengi
28. Salum Aboubakar Sure boy
29. Baraka Majogoro
30. Farid Mussa
31. Iddi Selema Nado
WASHAMBULIAJI :
32. Ditram Nchimbi
33. Mbwana Samatta
34. Thomas Ulimwengu
35. John Bocco
36. Yohana Nkomola
37. Shaaban Chilunda
38. Deus kaseke
39. Abdul Hamis Suleiman Sopu
40. Kelvin John
41. Nassor Saadun Hamoud
42. Mussa Abraham