Mtuombee dua, safari bado ni ndefu - Mo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Feb 2021
Mtuombee dua, safari bado ni ndefu - Mo

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' amewataka wapenzi, wanachama na mashabiki wa mabingwa hao wa nchi kutobweteka na matokeo waliyopata kwenye michuano ya ligi ya mabingwa kwani bado safari ni ndefu

Simba imefanikiwa kukaa kileleni mwa kundi A michuano ya ligi ya mabingwa hatua ya makundi wakiwa wamejikusanyia alama sita baada ya ushidi dhidi ya vigogo wa soka barani Afrika Al Ahly na AS Vita

Mo amesema safari bado ni ndefu kuweza kufikia malengo yao hivyo muhimu ni dua za Wanasimba na Watanzania wote kuhakikisha wanafanikiwa

"Bado safari ni ndefu na ngumu: Wanasimba na Watanzania tunaomba dua zenu kwa Mwenyezi Mungu," alisema

Bilionea huyo kijana zaidi barani Afrika anatajwa kuwa sababu ya mafanikio ya klabu ya Simba kutokana na uwekezaji mkubwa alioweka

Ndoto yake kubwa ni kuona Simba inashinda taji la ligi ya mabingwa, dalili zikionekana katika michuano ya msimu huu kuwa jambo hilo linawezekana hasa baada ya Simba kuanza vizuri hatua ya makundi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’