Simba kuanza kuiwinda Mbao FC leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Feb 2018
Simba kuanza kuiwinda Mbao FC leo
Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Gendarmerie, wachezaji wa Simba wamerejea jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia jana kutoka Djibouti na walipewa mapumziko ya siku moja.

Kikosi cha Simba kitaendelea na mazoezi leo Ijumaa kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mbao FC.

Mazoezi hayo yanatarajiwa kupigwa kuanzia saa 10:00 jioni katika uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’