Winga machachari wa Simba Shiza Kichuya amesema ipo changamoto ya hatari ya kukabiliwa na majeruhi kwenye mechi zinazopigwa mikoani.
Kichuya aliumia kisigino cha mguu katika mchezo dhidi ya Mbao FC, Hata hivyo alirejea dimbani kwa wakati.
Winga huyo ambaye ameifungia Simba mabao matatu msimu huu ameshauri wahusika wafanyie kazi malalamiko ya vilabu kuhusu viwanja vya mikoani.
Viwanja vingi vya mikoani vinamilikiwa na chama cha Mapinduzi (CCM) na tayari chama hicho kumetangaza kuanza mchakato wa kuvikarabati viwanja vyake kwa ushirikiano na TFF

ADVERTISE HERE