Hongera Namungo Fc kwa kutinga makundi Shirikisho

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Feb 2021
Hongera Namungo Fc kwa kutinga makundi Shirikisho

Licha ya kufungwa mabao 3-1 na CD De Agosto katika mchezo uliopigwa Azam Complex leo, Namungo Fc imetinga hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Shirikisho kwa ushindi wa jumla wa mabao 7-5

Namungo ilishinda mabao 6-2 kwenye mchezo wa kwanza uliopigwa katika uwanja huo mwishoni mwa wiki iliyopita

Namungo sasa wanaungana na Simba kucheza hatua ya makundi ya michuano inayoshika namba mbili kwa ukubwa kwa ngazi ya vilabu barani Afrika

Vijana hao kutoka mkoani Lindi, wamepangwa kundi D wakiwa na Raja Casablanca, Pyramids Fc na Nkana Fc

Karibuni Namungo katika ukurasa wa Kimataifa...!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba
Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
3h ago
READ MORE β†’
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
5h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
23h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
1d ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’