Gomes kubadili kikosi mechi ya African Lyon

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Feb 2021
Gomes kubadili kikosi mechi ya African Lyon

Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes amesema katika mchezo wa raundi ya nne kombe la FA dhidi ya African Lyon ambao utapigwa leo Ijumaa katika uwanja wa Benjamin Mkapa, atafanya mabadiliko ya kikosi

Akizungumzia maandalizi ya mchezo huo, Gomes amesema ni muhimu kwa wachezaji wengine kuonyesha uwezo wao na kumshawishi kupitia mchezo huo

Aidha amesema wachezaji waliocheza mechi dhidi ya Al Ahly wanastahili kupata mapumziko kuweka miili yao sawa

"Kesho tutawapa nafasi wachezaji wengine waonyeshe mashabiki kwamba wapo vizuri lakini pia kutoa nafasi ya kupumzika kwa wachezaji waliocheza mchezo wa Al Ahly sababu wanahitaji kupumzika," amesema Gomes

Mchezo huo utapigwa kuanzia saa moja usiku katika uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’