Baada ya kuwakilisha Kimataifa, tunarudi huku

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Feb 2021
Baada ya kuwakilisha Kimataifa, tunarudi huku

Keshokutwa Ijumaa Simba itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili African Lyon ukiwa ni mchezo wa kombe la FA, raundi ya tano

Baada ya mchezo huo, mabingwa wa nchi wataendelea kubaki jijini Dar es salaam kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya JKT Tanzania ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa March 01

Ratiba ya CAF inaonyesha March 05 vinara hao wa kundi A Ligi ya Mabingwa, wanapaswa kuwa nchini Sudan kuumana na Al Merrikh katika mchezo muhimu ambao matokeo ya ushindi yanaweza kuwahakikishia kufuzu robo fainali mapemaaa

Wakirejea jijini Dar es salaam, Simba watakuwa na mchezo wa kisasi dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa March 09

Hawa Prisons waliharibu rekodi ya Simba katika duru ya kwanza ligi kuu ya Vodacom wakipata ushindi wa bao 1-0 kule Sumbawanga

Ligi inatarajiwa kusimama baada ya March 09 kupisha kalenda ya mechi za AFCON

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’