Simba imeendelea kuishangaza Afrika ikiongoza kwenye msimamo wa matokeo ya jumla ya timu zote 16 zinazoshiriki ligi ya mabingwa hatua ya makundi msimu huu
Mpaka sasa Simba ndio klabu pekee iliyoshinda mechi zake zote mbili na hivyo kujikusanyia alama sita
Namba moja hapo juu kabisa! kileleni..!
ADVERTISE HERE