Bado wapo wanaosema Onyango ni mzee?

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Feb 2021
Bado wapo wanaosema Onyango ni mzee?

Mkenya Joash Onyango, beki kisiki wa Simba jana aliwalaza na viatu washambuliaji wa Al Ahly wakiongozwa na Walter Bwalya

Onyango alikuwa kikwazo kwao, akicheza mipira yote ya juu lakini pia akionyesha umakini wa hali ya juu katika ukabaji

Katika mchezo huo ambao Simba iliibuka na ushindi wa bao 1-0, Onyango ni mmoja wa wachezaji ambao pengine walistahili kupewa tuzo ya nyota wa mchezo

Ni huyuhuyu Onyango ambaye wakati aliposajiliwa na Simba mwanzoni mwa msimu wapo waliomkejeli ya kuwa ni mzee

Lakini kazi yake uwanjani imetosha kuwanyamazisha wote, uwepo wake katika kikosi ukiinufaisha Simba hasa katika michuano hii ya ligi ya mabingwa

Onyango ni mchezaji mwenye uzoefu mkubwa wa michuano ya Kimataifa ameshiriki akiwa na Gor Mahia lakini pia ni mlinzi wa kutegemewa wa timu ya Taifa ya Kenya, Harambee Stars

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
44m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’