Keshokutwa Ijumaa mabingwa wa nchi Simba watashuka tena katika uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili African Lyon katika mchezo wa kombe la Shirikisho la Azam, raundi ya nne
Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Al Ahly, vigogo wa soka barani Afrika katika mchezo wa ligi ya mabingwa, African Lyon wanaweza kukutana na 'balaa' kama kocha Didier Gomes atawashushia kosi lililoigalagaza Al Ahly
Simba imedhamiria kushinda mataji yote ya ndani kama walivyofanya msimu uliopita. Walianza na Ngao ya Jamii na sasa wamebakisha ligi kuu na kombe la FA ambalo wanalitetea
Mchezo dhidi ya African Lyon utapigwa kuanzia saa moja siku
ADVERTISE HERE