Tanzania One yuko mmoja tu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Feb 2021
Tanzania One yuko mmoja tu

Kwa sasa hakuwezi kuwa na mjadala tena juu ya ubora wa mlinda lango Aishi Manula, huyu ndiye kipa bora hapa Tanzania

Katika michuano ya ligi ya mabingwa msimu huu, Manula amedhirisha ubora wake kwa kuisaidia Simba kupata matokeo muhimu kwenye mechi zake

Cleansheet tano kutoka michezo sita ya ligi ya mabingwa sio jambo jepesi

Manula amekuwa gumzo hata nje ya Afrika, Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) jana lilimpongeza kwa kiwango kizuri alichoonyesha katika mchezo dhidi ya Al Ahly

Manula aliokoa shambulizi la hatari wakati mchezo ukielekea ukiongoni

Hapa  benchi la ufundi la Simba hasa kocha wa makipa Milton Nienov anastahili pongezi kwa kazi nzuri anayofanya kuwaimarisha makipa wa Simba

Manula wa sasa ni tofauti sana na Manula wa misimu ya nyuma, yuko makini na amekuwa akifanya maamuzi sahihi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
20m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
21h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’