Kituo kinachofuata, Al Merrikh

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Feb 2021
Kituo kinachofuata, Al Merrikh

Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Al Ahly leo, Simba imekusanya alama sita na kuongoza kundi A

AS Vita wanashika nafasi ya pili baada ya kuibamiza Al-Merrikh mabao 4-1 huko nchini Sudan

Al Marrikh watacheza na Simba katika mchezo unaofuata ambao utapigwa March 05 nchini Sudan

Simba inaweza kujikatia tiketi mapema kutinga robo fainali kama itashinda mchezo dhidi ya Al-Marrikh au hata kupata alama moja nchini Sudan na kushinda mchezo wa pili utakaopigwa jijini Dar es salaam

Kwa hakika Simba inaweza kutimiza malengo yake ya kucheza nusu fainali ya michuano hiyo msimu huu

Pongezi nyingi wanastahili wachezaji na muhimu zaidi benchi la ufundi linaloongozwa na kocha Didier Gomes aliyeimarisha sana Simba katika michuano ya Kimataifa

Simba sasa inaonyesha ukomavu katika michuano hiyo, wanacheza mpira wa uhakika na matokeo yanapatikana

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’