Miquissoooone, FT Simba 1-0 Al Ahly

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Feb 2021
Miquissoooone, FT Simba 1-0 Al Ahly

Mission accomplished! Ndivyo unavyoweza kusema kimombo baada ya Simba kufanya kile ilichoahidi kwa kuwagalagaza vigogo wa soka Barani Afrika Al Ahly kwa ushindi wa bao 1-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Luis Miquissone akiwa katika ubora wake leo aliifungia Simba bao pekee la ushindi katika dakika ya 29 kipindi cha kwanza akiachia fataki kali nje ya 18

Simba sio imeshinda tu, bali imewafundisha kandanda vigogo hao wa soka barani Afrika

Hii ndio Simba bhana...! kileleni mwa kundi A tukijikusanyia alama sita kutoka mechi mbili

Hapo kwa Mkapa hatoki mtu...!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’