Misururu ya mashabiki wa klabu ya Simba imeonekana wakisogea eneo la tukio, uwanja wa Benjamin Mkapa ambao jioni ya leo, majira ya saa kumi nyasi zitawaka moto kwa mchezo wa ligi ya mabingwa kati ya Simba dhidi ya Al Ahly
Shamrashamra zimeendelea kushamiri nje ya uwanja huo mashabiki wakiwa tayari kuingia uwanjani kushuhudia mtanange huo wa kukata na shoka
Kwa wale ambao bado hawajapata tiketi, zinapatikana uwanjani hapo ingawa bei sasa imebadilika


ADVERTISE HERE